You are using an outdated browser. Please
upgrade your browser to improve your experience.
Tenzi Za Rohoni
Tenzi Za Rohoni
Tenzi za Rohoni ni programu inayojumuisha mkusanyiko wa nyimbo 161 kutoka katika kitabu cha Tenzi Za Rohoni kwa lugha ya Kiswahili.Programu hii imeandaliwa kukuwezesha kumwamudu Mungu kwa njia ya uimbaji mahali popote na muda wowote.Sifa za program ni kama zifuatazo:-• Inahusisha eneo la utafutaji ambapo unaweza kutafuta wimbo kwa namba au kwaneno unalokumbuka liwe jina la wimbo kwa Kiswahili, kwa kiingereza au manenoyaliyo ndani ya wimbo.• Inakuwezesha kuweka nyimbo unazozipenda katika orodha tofauti na hivyo kuupatakwa urahisi wakati mwingine, pia unaweza kuuondoa pale unapoona inafaa.• Inakuwezesha kufuatilia wimbo kwa njia ya ala za sauti (thanks to hymnserve.com forthe accompaniments).• Inakuwezesha kucheza ala hata ukiwa haupo kwenye programu• Inakuwezesha kuona wimbo namba unaocheza ala pindi uwapo kwenye nyimbo nyingine.• Inakuwezesha kufahamu wimbo wa mwisho kutazamwa kwa kuuangazia rangi kwenye orodha.• Inakuwezesha kubadili muonekano wa programu unaofaa katika mazingira yaMwanga au Giza ili kuwezesha uono usioumiza macho.Programu hii imeandaliwa na kutengenezwa na Justin Diva Bulenga kwautukufu wa Mungu.